KISWAHILI LUGHA BORA

Kiswahili lugha bora, tamutamukutamka
Imetiasanafora, kwa miakanamikaka

Imekitahadibara, tenahadi kwa mipaka
Kiswahili lughatamu, tamukulikoasali

Kiswahili nikafara, lughailiyotukuka
Hatauwenakipara, badoitatamkika
Hutumiwanahawara, rahisikufikirika
Kiswahili lughatamu, tamukulikoasali

Lughaisopapara, lughailiyopangika
Hataupigajiwakura, lughapiayatumika
Jaribumarakwamara, sanatusijedhurika
Kiswahili lughatamu, tamukulikoasali

Tuipempyasura, lughailoheshimika
Ili izidikung’ara, isijedharaulika
Mkiahatutaburura, sanautafarijika
Kiswahili lughatamu, tamukulikoasali

Lughaisoufukara, lughailiyomwafaka
Lughailobarabara, hakikakukubalika
Lughaisokugura, lughailomakinika
Kiswahili lughatamu, tamukuliko asali

By Nancy Charles

Mbaya Wetu Badilika

mbaya

Sifanakumiminia, kwayakotamthiliya
Mazuriulitwambia, tulijuanamabaya
Wabayatwawalilia, ilhaliwatwibiya
KindakindakiMatari, Mburumatarihatari

Uovuumekithiri, hamnakilehalali
Walevibilahabari, walalakichalichali
Wamejawanayomori, walipanayomakali
Tamthiliyasomeni, mpatenimaarifa

Kurasakuzibukua, utazipatahabari
Fiona kumpunjia, darahimazaMatari
Makaliwakibugia, kulewalewachakari
Soma patamaarifa, usijeukajibwaga

Waliborawetugwiji, tanguenzisikunjema
Vijijivyotenamiji, watuwotewanasoma
Usijekukosamaji, kiukikakusakama
Ninakupongezasana, kwa ufahamunasaha

Ndotoyanguuandishi, nisomwempakang’ambo
TanguenzizaMunishi, darasanimwaAtambo
Kataabidhaaghushi, sivematangukitambo
Nunuahichokitabu, uung’amueukweli

Wabayasiwadekeze, kwavyovitendoviovu
Tusiwachezeezeze, kuzivunjazaombavu
Vipajivyetutukuze, ndipotuasiuvivu
Sotetuasimabaya, natujengekoozetu

Takuwamimimfano, kuipajamiiwosia
Kuandaakongamano, Wakenyakuwazindua
Kuletautangamano, watukujitegemea
Mbayawetubadilika, usitesewatuwetu

Nikutuzutunugani, maanamemakinika
Umekuwajakuhani, kaziyakomependeka
Rahaisiyokifani, moyowangu’mepakata
Waliborawetugwiji, zidikuandikasana

By Nancy Charles